Kiswahili Form Six Midterm Exam September 2026 – Mbinga Girls Secondary School

 


KISWAHILI FORM SIX MIDTERM EXAM SEPTEMBER 2026 – MBINGA GIRLS SECONDARY SCHOOL

DOWNLOAD EXAM PDF

SEHEMU: B (ALAMA 60)

Jibu maswali (03) kutoka sehemu hii. swali la (5) ni la lazima.

5. Uchanganuzi wa sentensi hufanywa hatua kwa hatua. Bainisha hatua tano za uchanganuzi wa sentensi kidhima. Kisha changanua sentensi isemayo “Msichana mnene ananiangalia vibaya”. Tumia njia ya matawi na kwa mkabala wa kidhima.

6. “Silabi huwa na ruwaza mbalimbali” kwa mifano bayana, Bainisha ruwaza kuu tano (5) za silabi za Kiswahili.

7. Kwa kutumia mifano ya kiswahili, bainisha miundo mitano ya kirai nomino (KN).

8. Uainishaji wa sentensi za kiswahili umejikita katika vigezo vikuu viwili, kwa kutumia mifano maridhawa, bainisha aina za sentesi za kiswahili kwa kigezo cha kidhima.

 

Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url