Form Six Mid Term Exam 2026 - Theodora School (Ubungo)
FORM SIX MID TERM EXAMINATION 2026 – THEODORA SCHOOL
(UBUNGO)
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI
HISTORY
KISWAHILI
SEHEMU B
JIBU MASWALI MATATU KATIKA SEHEMU HII
5. Udhamini wa watunzi wa kazi ya fasihi humaanisha msaada
wa kifedha au hali anaoupata mtunzi ili kufanikisha uzalishaji. Lakini udhamini
huu huwa na changamoto kwa mtunzi. Nini madhara ya udhamini wa kazi za fasihi
kwa mifano halisi toa hoja sita.
6. Fafanua mchango wa teknolojia ya Habari na mawasilano
(TEHAMA) katika kukuza Kiswahili kimataifa.
7. Kwa kutumia riwaya mbili ulizosoma onyesha nafasi ya
mwanamke katika jamii kama ambavyo mtunzi amemchora katika kaitabu chake. Hoja
tatu kwa kila kitabu
8. Kutokukubaliana miongoni mwa jamii kumekuwa chanzo cha
mivutano mbalimbali kati yao na kupelekea kukosekana kwa amani, utulivu na
utengano katika jamii. Onesha ukweli wa kauli hii kwa kufafanua mivutano
iliyoibuliwa na mwaandishi wa riwaya ulizosoma kwa kutoa hoja tatu kwa kila
riwaya.
